EAGT PENIEL · DAR ES SALAAM

Karibu EAGT Peniel

Nyumba ya Bwana, Mahali pa Upendo, Maombi, na Neno la Mungu.
Ungana nasi katika kumwabudu Mungu wa kweli.

Ibada Maombi Umoja
Wasiliana nasi

JAMII YETU

Viongozi wa Kanisa

Tunaongozwa na watumishi wenye moyo wa upendo na kujitoa.

Rev. Celestine E. Mntungulu

Mchungaji Kiongozi

Rev. Celestine E. Mntungulu

Anayeongoza kwa hekima na maono ya kanisa letu

Rev. Grace E. Hungwa

Mchungaji Msaidizi

Rev. Grace E. Hungwa

Anahusika na huduma za ufuasi, ushauri, na maombi kwa waumini wetu.

Rev. Emiliana A. Ntahokaja

Mzee wa Kanisa

Rev. Emiliana A. Ntahokaja

Kiongozi wa Maombi na Muandaaji wa Mikesha yote.

KARIBU NYUMBANI

Ratiba za Ibada

Tafadhali karibu tushiriki pamoja katika uwepo wa Mungu.

JUMANNE

WWI
10:00–12:00 Jioni

JUMATANO

Maombi ya Kuombea Ibada
9:00–10:00 Jioni
Mafundisho ya Neno la Mungu
10:00–12:00 Jioni

IJUMAA

Maombi ya Kuombea Ibada
9:00–10:00 Jioni
Maombi na Maombezi
10:00–12:00 Jioni

JUMAMOSI

Mazoezi ya Kwaya, Na Kusifu na Kuabudu
10:00–12:00 Jioni

JUMAPILI

Maombi ya Kuombea Ibada
2:00–3:00 Asubuhi
Sunday School
3:00–4:00 Asubuhi
IBADA KUU
4:00–7:00 Mchana

TUNASIKILIZA

Wasiliana Nasi

Una swali, ombi la maombi au ungependa kutembelea? Tunafurahi kusikia kutoka kwako.